KATIBU WA TAWI LA CCM MOSCOW ANAPENDA KUKUALIKA WEWE NA FAMILIA YAKO KATIKA SHEREHE KUBWA YA KUMPONGEZA MWENYEKITI WA CCM NA RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MH. DK. JAKAYA MRISHO KIKWETE KWA USHINDI MKUBWA ALIOUPATA KATIKA UCHAGUZI ULIOFANYIKA MWISHONI MWA NOVEMBA MWAKA HUU.
SHEREHE HIYO ITAFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 27/11/2010 KUANZIA SAA 17:00 HADI MAJOGOO.
MAHALI: 33 PYATNITSKAYULITSA, 119017, MOSCOW RUSSIA
WOTE MNAKARIBISHWA
GOD BLESS CCM, GOD BLESS TANZANIA
IMETOLEWA NA IDARA YA HABARI NA MAWASILIANO YA TAWI
0 comments:
Post a Comment