Sitta waziri wa Ushirikiano wa Africa Mashari, Nahonda waziri wa Mambo ya Ndani, Mama Kabaka Waziri wa Kazi na Ajira, Magufuli waziri wa Ujenzi, naibu wake Mwakiyembe. Fedha Mkullo na Nje Membe
1 | Ofisi ya Rais (Utawala Bora) - Mathias Chikawe |
2 | Ofisi ya Rais – Mahusiano na Uratibu: Stephen Wassira |
3 | Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma Hawa Ghasia |
4 | Ofisi ya Makamu wa Rais – ( Muungano) Samia Suluhu |
5 | Ofisi ya Makamu wa Rais – (Mazingira) Dr. Terezya Luoga Hovisa |
6 | Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) - William Lukuvi |
7 | Uwekezaji na Uwezeshaji - Dr. Mary Nagu |
8 | Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) - George Huruma Mkuchika |
| Naibu 1: Aggrey Mwanri |
| Naibu 2: Kassim Majaliwa |
9 | Wizara ya Fedha - Mustapha Mkulo |
Naibu 1: Gregory Teu | |
Naibu 2: Pereira Ame Silima | |
10 | Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi - Shamsi Vuai Nahodha |
Naibu: Balozi Khamis Suedi Kagasheki | |
11 | Wizara ya Katiba na Sheria - Celina Kombani |
12 | Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa - Bernard K. Membe |
Naibu: Mahadhi Juma Mahadhi | |
13 | Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa - Dr. Hussein Ali Hassan Mwinyi |
0 comments:
Post a Comment