Breaking Nyuuuuzzzzzzzzzz.....

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter Baraza la Mawaziri Hili Hapa...

1
Ofisi ya Rais (Utawala Bora) - Mathias Chikawe
2
Ofisi ya Rais – Mahusiano na Uratibu: Stephen Wassira
3
Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma Hawa Ghasia
4
Ofisi ya Makamu wa Rais – ( Muungano) Samia Suluhu
5
Ofisi ya Makamu wa Rais – (Mazingira) Dr. Terezya Luoga Hovisa
6
Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) - William Lukuvi
7
Uwekezaji na Uwezeshaji - Dr. Mary Nagu
8
Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) - George Huruma Mkuchika

Naibu 1: Aggrey Mwanri

Naibu 2: Kassim Majaliwa
9
Wizara ya Fedha - Mustapha Mkulo
Naibu 1: Gregory Teu
Naibu 2: Pereira Ame Silima
10
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi - Shamsi Vuai Nahodha
Naibu: Balozi Khamis Suedi Kagasheki
11
Wizara ya Katiba na Sheria - Celina Kombani
12
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa - Bernard K. Membe
Naibu: Mahadhi Juma Mahadhi
13
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa - Dr. Hussein Ali Hassan Mwinyi
14
Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi - Dr. Mathayo David Mathayo
Naibu: Benedict Ole Nangoro
15
Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia - Prof. Makame Mnyaa Mbarawa
Naibu: Charles Kitwanga
16
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi - Prof. Anna Tibaijuka
Naibu: Goodluck Ole Madeye
17
14. Wizara ya Maliasili na Utalii - Ezekiel Maige
18
Wizara ya Nishati na Madini - William Mganga Ngeleja
2. Adam Kigoma Malima
19
Wizara ya Ujenzi - Dr. John Pombe Magufuli
Naibu: Dr. Harrison Mwakyembe
20
Wizara ya Uchukuzi - Omari Nundu
Naibu: Athumani Mfutakamba
21
Wizara ya Viwanda na Biashara - Dr. Cyril Chami
Naibu: Lazaro Nyalandu
22
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi - Dr. Shukuru Kawambwa
Naibu: Philipo Mulugo
23
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii - Dr. Haji Hussein Mpanda
Naibu: Dr. Lucy Nkya
24
Wizara ya Kazi na Ajira - Gaudensia Kabaka
2. Makongoro Mahanga
25
Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto - Sophia Simba
2. Umi Ali Mwalimu
26
Wizara ya Habari, Vijana na Michezo - Emmanuel John Nchimbi
Naibu: Dr. Fenella Mukangara
27
Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Samuel John Sitta
Naibu Dr. Abdallah Juma Abdallah
28
Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika - Prof. Jumanne Maghembe
Naibu: Christopher Chiza
29
Wizara ya Maji - Prof. Mark James Mwandosya
Naibu - Gerson Lwinge


0 comments: