
Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli.
SIKU moja baada ya kula kiapo cha utiifu, Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli na Naibu Dk Harrison Mwakyembe, wameingia wizarani hapo kwa kutema cheche, huku waziri huyo akitishia kutegesha fedha za ‘moto’ Takukuru kunasa vigogo wanaokula rushwa kwa makandarasi.Dk Harrison Mwakyembe.
Endelea na habari hii hapa
0 comments:
Post a Comment